vipimo na matibabu ya mapema kukabiliana na tatzo hili. Zifuatazo ni ishara na dalili za awali zitakazokusaidia kujua kama unakabiliwa au uko katika hatari ya ugonjwa wa kisukari.
- Kukojoa mara kwa mara.
- kupata kiu na njaa mara kwa mara au kwa muda mrefu.
- Midomo kuwa mikavu.
- Kupungua uzito au kuongezeka uzito kwa kasi,
- Kupoteza nguvu na uchovu wa mara kwa mara au muda mrefu
- Maumivu ya kichwa.
- Miguu na mikono kufa ganzi
- Kutokuona vizuri au kuona mawenge.
No comments:
Post a Comment