Rihanna anasema yeye ni kama wanawake wengine kiasi cha kuwa na hamu ya kufanya mapenzi na kwamba hajavunja amri ya sita kwa muda mrefu sasa.
rihanna-cover
Akiongea kwenye jarida la Vanity Fair, Rihanna alisema hawezi tu kufanya mapenzi na mtu ambaye hajamuingia moyo.
Haya ndio aliyoyasema:
If I wanted to I would completely do that. I am going to do what makes me feel happy, what I feel like doing. But that would be empty for me; that to me is a hollow move. I would wake up the next day feeling like s–t,” she shared. “That’s why I haven’t been having sex or even really seeing anybody. Because I don’t want to wake up the next day feeling guilty. I mean I get horny, I’m human, I’m a woman, I want to have sex. But what am I going to do—just find the first random cute dude that I think is going to be a great ride for the night and then tomorrow I wake up feeling empty and hollow? He has a great story and I’m like … what am I doing? I can’t do it to myself. I cannot. It has a little bit to do with fame and a lot to do with the woman that I am. And that saves me.”GUSA HAPA KWA PICHA NYINGI ZAIDI.
Kwenye mahojiano hayo pia, Rihanna alizungumza uhusiano wake na Chris Brown. “Nilikuwa msichana yule,” alisema Rihanna kueleza kwanini alimrudia Chris Brown licha ya kumjeruhi vibaya mwaka 2009.
“Msichana yule aliyehisi maumivu makali kama uhusiano huu ulivyokuwa, pengine watu wengine wameumbwa kuwa na nguvu kuliko wengine. Pengine mimi ni miongoni mwa wale watu ambao wameumbwa kumudu mambo kama haya. Pengine mimi ni mtu ambaye ni kama malaika wa ulinzi kwa mtu huyu, kuwepo pale wanapokuwa hawajiwezi, pale wanaposhindwa kuielewa dunia, pindi wanapohitaji tu mtu wa kuwapa moyo katika njia chanya na kusema mambo sahihi.”
Rihanna anadai alidhani angembadilisha Breezy.
“Kwa asilimia mia. Nilikuwa nikimtetea sana,” alieleza Rihanna.
“Nilihisi kwamba watu walikuwa hamwelewi. Lakini unajua, unagundua baada ya muda kuwa katika mazingira hayo wewe ndiye adui. Unataka mambo mema kwao, lakini unapowakumbusha kuhusu waliyokosea, ama kama ukiwakumbusha vipindi vibaya katika maisha yao, ama tu ukisema nipo tayari kuvumilia jambo fulani, hawakufirii – kwasababu wanajua haustahili kile wanachoenda kukupa.”
Pamoja na hayo, Rihanna amesema hamchukii CB.
“Nitamjali mpaka siku nakufa. Sisi sio marafiki lakini si kwamba ni maadui. Hatuna uhusiano mkubwa sasa.”GUSA HAPA KWA PICHA NA HABARI ZAIDI
No comments:
Post a Comment