Baada ya kutofautiana kwa miaka zaidi ya sita sasa
wamepatana na kuja na ngoma kali ya pamoja yenye miondoko ya mdumange. Ndugu wa Tanzania na waongelea Abubakar Katwila au Q chief na Khalid Mohammed au TID, Q chief anasema yeye na TID wameshakuwa watu wazima sasa maugomvi ugomvi hayana maana kwahiyo wameamua kupatana na kupiga kazi. Kwenye ngoma hii mpya itayo achiwa mwezi wa kumi na moja Q chief anatarajia kumshirikisha Diamond Platnnumz pia.>>>>TAZAMA HAPA VIDEO YAO WAKIWA WOTE WATATU <<<
No comments:
Post a Comment