Tuesday, October 6, 2015

DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU ZARI KUISHI TANZANIA.

            Baba Tiffah almaarufu kama Diamond aongelea kuhusu mama wa mtoto wake yani Zari juu ya kuishi
Tanzania moja kwa moja. Alicho sema Diamond nikwamba Zari ni mfanya biashara na anabiashara zake South Africa na Uganda tukisema ahamie Tanzania nakuamishia shughulizake Tanzania huenda akayumba kibiasha, kwa hiyo atakacho kuwa akifanya Zari ni kwamba muda atakao kaa nje ya Tanzania ndiyo muda atakao kaa Tanzania. Huku kukiwa na tetesi za Zari kuto rudi tena state house. >> >>>>gusa hapa VIDEO msikilize Zari anacho sema.html <<<<<<

No comments: