Saturday, October 17, 2015

MISS TEMEKE AMPONGEZA DIAMOND KWA KUMPPELEKA DINNEROQQWe



Miss Temeke (wapili toka kushoto) akiwa na Diamond na meneja wake Babu Tale (kulia) kwenye chakula cha jioni siku ya Jumanne Octoba 13, 2015 kwenye mgahawa Virginia. Missy T alimpeleka Dinner Diamond na meneja wake Babu Tale kwa kumpongeza masanii huyo kwa kuweza kunyakua tuzo tatu kwenye AFRIMA Awards zilizofanyika wiki iliyopita jimbo la Texas. Wengine waliokuwepo kwenye chakoula hicho cha jiowni ni Seif Ameir na Mkewe Bi. Nargis akiwemo Mume wa Miss T Bwn. Mohamed Matope. Diamond na meneja wake walisimama Dulles kwa saa kadhaa wakiwa njiani kuelekea nyumbani Tanzania.




No comments: