Wednesday, October 21, 2015

HATIHATI YA KUNDI LA MAFIKIZORO KUVUNJIKA.

                  Kundi la Mafikizoro linalo undwa na Theo pamoja
na mwanadada Nhlanhla kunatetesi zilisambaa kwamba kundi hilo lipo mbioni kuvunjika hii ni baada ya Nhlanhla kujikita kwenye mambo ya fasheni na Theo kujikita kwa kina kwenye utengenezaji wa muziki, tayari hivi sasa amefungua studio yake na tayari amesha msajili msanii mmoja. walipo ulizwa Mafikizoro juu ya tetesi hizi katika kitu cha Move walisema kundi halito vunjika.

No comments: