Rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan amehimiza tena watakaoshindwa uchaguzi Tanzania wakubali matokeo.
>>>GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO YAKE<<<<
Bw Jonathan, ambaye ndiye kiongozi wa ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Tanzania kutoka Jumuiya ya Madola, ameeleza matumaini yake kwamba matokeo yatakubalika.
>>>GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO YAKE<<<<
Akizungumza na BBC, kiongozi huyo aliyeshindwa uchaguzini nchini mwake mwezi Machi mwaka huu, amesema watu wanafaa kukubali kwamba uchaguzi ni shughuli ya kidemokrasia na wapiga kura wana haki ya “kuwakubali au kuwakataa”. Bw Jonathan alishindwa uchaguzini na Muhammadu Buhari na akakubali matokeo hayo.
>>>GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO YAKE<<<<
Bw Jonathan amesema amefurahishwa na jinsi kampeni zimeendeshwa akisema zimekuwa za amani.

Kiongozi huyo amekuwa akikutana na wadau mbalimbali kwenye uchaguzi huo utakaofanyika Jumapili Oktoba 25.
“Ninaamini uchaguzi utakuwa huru na wa haki,” amesema.
Ripoti ya awali kutoka kwa ujumbe huo itatolewa Jumanne wiki ijayo na Rais Jonathan anasema anatumai itakuwa "njema”.
>>>GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO YAKE<<<<
>>>GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO YAKE<<<<
No comments:
Post a Comment