Monday, October 12, 2015

NDOA YA JACKLINE WOLPER MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.

      Nouma saaana . Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa
ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na ‘uchizi’ juu ya suala hilo ambapo muda wote anawaza ni kwa namna gani ataweza kuweka historia juu ya shughuli yake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Jozi
>>>>GUSA HAPA KUTAZAMA PICHA NA VIDEO<<<<y

Village, jijini Dar, Wolper alisema: “akili haijakaa sawa kabisa, nawaza juu ya ndoa yangu ambayo muda si mrefu itatimia, silali, sili na sipumui vizuri, kila kitu kimesimama, ni kama imenitia uchizi, muda wa kuishi na mwanaume kwenye ndoa takatifu umewadia,” alitiririka Wolper.

>>>> GUSA HAPA KUTAZAMA VIDEO ZETU ZA KIKUBWA HAPA +18 TU<<<<<

No comments: