Tuesday, October 6, 2015

UGOMVI WA BIRDMAN NA LIL WAYNE WAJA NA SURA MPYA. SOMA HAPA.

        Chanzo cha habar cha TMZ kilisema kwamba Lil wayne anyanyua madai mapya zidi ya bird man. Wzzy anadai kuwa
Bird man kawaibia sana Nick Minaj, Drake na Tiger mkwanja mrefu sana usio pungua dolla 100. Huku kama ti ya Bird Man ikidai kwa pesa hizo walisha walipa lakini kwa awamu dolla million 70 walikuwa wakipewa kama advance na kuna baadhi ya pesa ambazo zilitumika katika album ya Lil wayne,
 KUTAZAMA VIDEO YAO WAKIWA WANAPIGANA KWENYE LIFTI INGIA HAPA >>>>>http://www.toomuchin4.com/2015/10/wiz-lil wayne-and-fight-birdman-in-punch-again.html >>>>GUSA HAPA.<<<<<…

No comments: