Saturday, October 3, 2015

NEY WA MITEGO AVAMIWA NA MAJAMBAZI NYUMBANI KWAKE.

                Alisema Ney wa mitego mimi sina ugimvi na mtu nashanga hawa watu kuja kunivamia nyumbni, na kwa bahati nzuri Ney yupo mikoani kwenye kampeni. Alisema
Ney kwamba majambazi hao walio mvamia nakushindwa kuingia ndani ya nyumba yake kutokana na ile nyavu ya umeme kupita juu ya fensi walijaribu kila njia kuingia ndani humo lakini haikuwezekanika walipanda mpaka kwenue mstimu ili wakate umeme ndipo majirani kuwaona na kupiga ukunga mzito kitendo ambacho kili pelekea majambazi hao kukimbia eneo hilo, majambazi hao wlikuwa wakitumia gari aina ya land cruiser. Mpaka hivi sasa taarifa zipo polisi na upelelezi unaendelea. KUONA PICHA NA VIDEO FUPI ZA TUKIO INGIA HAPA >>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 >>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 <<GUSA HAPO

No comments: