Saturday, October 10, 2015

PENZI LA NISHA KWA SASA LIMEANGUKIA KWA BARAKA THE PRINCE

                           Staa wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamuziki
Baraka Da Prince ni kuhitaji penzi la kweli na si vinginevyo.(TAZAMA PICHA HAPA WAKIWA ***)
Akipiga stori na Ijumaa, Nisha alisema kuwa watu wamekuwa wakimsengenya kwa kudai kuwa eti yeye kuwa na Baraka ni sawa na ‘kumbemenda’ lakini akajitetea kwamba penzi la siku hizi haliangalii umri, kikubwa ni penzi la kweli.(TAZAMA ILE VIDEO YAO YA *** HAPA)
“Unaweza kuwa na mtu mzima mwenzako na msielewane lakini ukawa na ‘serengeti boy’ mkaelewana hivyo mimi sioni tatizo kuwa naye na ninampenda hatari,” alisema Nisha.(TAZAMA PICHA NA VIDEO NYINGINE HAPA.)

No comments: