Friday, October 9, 2015

IDRISA SULTAN NDANI YA B.E.T NA SHOW ZAKE MBILI.

    Mshindi wa  Big brother Africa mwaka 2014 Idris Sultan nakuja na show zake mbili ambazo zita rushwa kwenye
Channel ya BET moja ya channel za Marekani.
      show moja itakuwa ni reality show kama zakina Kim Kardashian na nyingine itakuwa ni Comedy.
      Mwezi wa kumi na mbili  ndo show zinatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye channel hiyo ya BET na show zitakuwa kwa lugha mbili kiswahili na kingereza. KWA HABARI ,PICHA NA VIDEO INGIA HAPA. >>>>Gusa hapa kwa habari,picha na video<<<<

No comments: