Runtown ni msanii kutoka Naijeria anae tamba na kibao chake cha Banger, msanii huyu ndiye yuleee aliye taka
kairudia ile nyimbo ya Wanjera ya Ommy Dimpoz.
Katika finali za Bss zitazo fanyika oct.9 wenye ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga kutakuwana wasanii wafuatao ambao watatumbuiza siku hiyo kuna Navy Kenzo, Yamoto Band na wengine wengi. KWA PICHA NA HABARI NYINGI ZAIDI INGIA HAPA >>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 >>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 <<<<<
No comments:
Post a Comment