Run Town msanii kutoka Nigeria alie tua usiku wa kuamkia leo yani 9 oct.2015 akiwa tayari kulikwea jukwa la
Bss pale King Solomon Hall. akiwa anahojiwa na moja ya television aliulizwa ni wasanii gan anao wakubali Tanzania akasema kwa upande wa wanawake ni V Money na wa kiume ni Diamond Platnumz.Kwa habar zaidi gusa hapa >>>>GUSA HAPA KWA PICHA NA HABARI ZAIDI.<<<<<
No comments:
Post a Comment