Mwanasheria mkuu wa Tanzania George Masaju
atoa sababu moja tu ambayo inajitoshereza kisheria juu ya swala zima la kutokuvunjwa kwa baraza la mawaziri amesema "Waziri upoteza uwaziri wake muda mchache kabla rais mpya ajateuliwa na hapo ndipo Waziri hupo waziri anapo poteza uwaziri wake". >>>GUSA HAPA KUSIKILIZA WANASHERIA WA VYAMA MBALIMBALI WAMESEMAJE?<<<
No comments:
Post a Comment