Morgan Herritage ni grupu linalo undwa na wanandugu
watano wanao imba mziki wa rege wenye makazi yao inchini Marekani. 3 oct walikuwa na show pale inchini Kenya sasa chakushangaza ambacho watu wameshindwa kuelewa ni pale Gramps wa Morgan alipo post hiyo picha apo chini na kuandika alicho kiandika ambacho kilikuwa kikiashiria kwamba huo umati wa wafuasi wa chama cha CCM ndiyo watu walio udhulia katika tamasha lao walilo tumbiza hapo nchini Kenya wakati hiyo picha ni ya umati wa wana Ccm waliojitokeza siku aliyoenda kutoa sera Mh. John Pombe Magufuri. comment nyingi zimemwagika kwenye hiyo post wengi wameponda,wengine waka kejer na wengine wali waamini na kuonesha kuwaunga mkono. Tazama Picha apo chini.
No comments:
Post a Comment