>>>>>TAZAMA HAPA VIDEO<<<<<<
Sunday, October 25, 2015
Saturday, October 24, 2015
Friday, October 23, 2015
RAIA WA NAMANGA UPANDE WA KENYA WANASEMA UCHAGUZI WA SAFARI HII TANZANIA SIYO WA KAWAIDA.
Raia wa Kenya wanaoishi katika mji wa Namanga unaopakana na Tanzania wametaja uchaguzi wa Tanzania mwaka huu kuwa wa kihistoria ikilinganishwa na chaguzi za awali nchini humo.
RAIS WA ZAMANI WA NAIJERIA ASISITIZA WATAKAO SHINDWA UCHAGUZI TANZANIA WAKUBALI MATOKEO.
Rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan amehimiza tena watakaoshindwa uchaguzi Tanzania wakubali matokeo.
Thursday, October 22, 2015
Wednesday, October 21, 2015
Tuesday, October 20, 2015
TCRA YATOA ONYO KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI.
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevionya vyombo vya habari vitakavyotangaza matokeo ya uchaguzi mkuu kinyume cha sheria na taratibu kwamba haitasita kuviadhibu.>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
Mbele ya wanahabari jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya maudhui ya vyombo vya habari, Injinia Magreth Munyagi alionya kuwa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambao umekuwa ukizungumzwa na baadhi ya wanasiasa lazima uzingatie taratibu zilizowekwa na tume tofauti na hapo hatua kali zitachukuliwa na TCRA..>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
Kumekuwa na mvutano baina ya Tume na vyama vya upinzani hususani vile vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuhusu utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka huu huku Tume ikisisitiza kuwa ndiyo yenye mamlaka ya kutangaza matokeo na vyama hivyo vikisema hakuna sheria inayovizuia kutangaza matokeo ya vyama vyao.
.>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
Wiki tatu zilizopita, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bara), John Mnyika alisema “hakuna sheria inayotuzuia kutangaza matokeo ya kura zetu na ndio maana tunasisitiza tutayatangaza matokeo yetu wenyewe iwapo tutamaliza kujumlisha kabla ya masaa 72 ambayo NEC inasema itakuwa imemaliza.”
.>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
Akijibu swali la mwandishi iwapo vyombo vya habari kutangaza matokeo yatakayokuwa yametolewa na chama au vyama vya siasa ni kosa kisheria, Injinia Munyagi alisema “Tumeshaeleza kwamba utangazaji matokeo lazima uzingatie sheria na taratibu za NEC.”
.>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
Baadhi ya adhabu zilizotajwa kutumika kwa atakayethibitika amevunja sheria ni kuonywa, kupigwa faini, kufungiwa kwa muda na kunyang’anywa leseni ya utangazaji.
.>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
Pia Mamlaka kupitia kamati hiyo ya maudhui ya vyombo vya habari, ilieleza kuridhishwa kwa ‘wastani’ na utolewaji wa matangazo ya habari za kampeni.
.>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
“Mpaka sasa tumeridhishwa kwa wastani na kazi iliyofanywa na vyombo vya habari katika kampeni za uchaguzi mkuu, taarifa za uchochezi na kutia hofu zimepungua na waandishi wanajitahidi kutafuta vyanzo sahihi vya habari zao,” alieleza mwenyekiti injinia Munyagi.
.>>>GUSA HAPA KWA VIDEO NA AUDIO<<<
Kamati ya Maudhui huteuliwa kisheria na waziri mwenye dhamana ya masuala ya habari jukumu kubwa la kamati hiyo likiwa ni kufanya tathimini za mara kwa mara kuhusu maudhui ya utangazaji na kupokea maoni au malalamiko juu ya maudhui ya vipindi hivyo.

Monday, October 19, 2015
Sunday, October 18, 2015
Saturday, October 17, 2015
DIAMOND PLATNUMZ NA MISS WORLD WA MWAKA 2000.
Nyota ya Diamond Platnumz inazidi kung’aa na kumulika hadi nje ya bara la Afrika ambako pia imeanza kukubalika.
MAGUFURI AKIMWAGA SELA NDANI YA ZANZIBAR.
Friday, October 16, 2015
DAWA MPPYA YA ASILI YA NGUVU ZA KIUME. TAZAMA HAPA.
Mnajua kama mdalasini, asali na tango ni dawa ya kumpa mtu nguvu kwenye mechi? kama ulikuwa hujui ndio
Thursday, October 15, 2015
WIZARA YA MADINI HUKO KAHAMA YA ONGELEA VIJANA WALIO FUKIWA MGODINI.
MWILI WA MH.ABDALLAH KIGODA KUWASILISHWA NYUMBANI.
Mwili wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda aliyefariki juzi katika hospitali ya Appolo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu, umewasili leo jioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ndege ya Shirika la Emirates.
Mwili wa Waziri Kigoda utaagwa kesho viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Wednesday, October 14, 2015
Tuesday, October 13, 2015
FURAHA YA INGIA KWENYE FAMILIA YA JOHN LEGEND NA MKEWE CHRISSY TEIGEN.
John Legend na mkewe Chrissy Teigen wanatarajia
Subscribe to:
Posts (Atom)