Wednesday, September 30, 2015
YANGA YATISHA TEANA KWA MTIBWA.
Kikosi cha yanga.
Kikosi cha mtibwa.
Agha imepihwa ndoo moja hatari
Dakika 90 zimekwisha, Yanga wanaondoka na pointi tatu mhimu
baada ya kuilaza Mtibwa kwa bao 2-0 Uwanja wa Jmhuri mjini Morogoro. Yanga wanaendelea kujiklita kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) kwa kuwa na pointi 15 baada ya kushinda mechi zao tano zote ambazo wamekwishacheza mpaka sasa. KWA PICHA NA HABARI ZAIDI INGIA HAPA >>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 >>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 <<<<<<<<
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment