Saturday, September 26, 2015

TETESI ZA DR.CHENI KUMUOA LULU NA KUMFANYA MKE WA PILI.

                 Dr.Cheni msanii maarufu wa bongo movie aliye
 kuwa akitoa msaada mkubwa sana kwa msanii mwenzake Lulu Michael ilipo kuwa kwenye kipindi kigumu cha kesi , hali hiyo ilijenga maswali kadhaa kwa watu na tetesi kuanza kusamba kuwa wawili hao wanatoka, Dr. Cheni ameoa mke wake anaitwa Sabrina Zahrain ila kama inavyo julikana kwa dini ya Kiislam mwanaume anaruhusiwa kuoa wake hadi wanne kulingana na uwezo wake.
       Baada ya tetesi za ndoa kusikika paparazi waliamua kufukunyua kwa kutafuta namna ya kuwahoji wawili hao ila kwa bahati nzuri alipatikana Dr. Cheni na alipo ulizwa juu ya maswala ya ndoa alisema kuwa Lulu ni mwanamke na yeye ni mwanaume. Kwa mujibu wa chanzo chetu kina sema watu wakae mkao wa kula mpunga isiwe stori ya kustua watu pale ndo itakapo tangazwa rasmi.

CHANZO: GPL

No comments: