Wednesday, September 30, 2015

WASTARA JUMA NA BOND SULEIMAN NDOA BAADA YA UCHAGUZI MKUU KUISHA.

             Wastara Juma aliye kuwa mpenzi wa Sajuki sasa apata tulizo la roho yake na hatimaye kupanga mipangi ya ndoa ili
waweze kuji haralisha yeye na mpenzi wake Bond Sulieman. Wastara ni muigizaji na pia hivi karibuni amejikita kwenye siasa lIcha ya kukosa ubunge wa viti maalumu kupitia tiketi ya ccm ila bado yupo kwenye harakati za kampeni. Bond asema maswala ya kampeni ndiyo yamefanya ndoa yao isogezwe mbele mpaka kampeni zitakapo isha ambalo siyo jambo baya. Kwa picha zaidi na habari ingia hapa >>>>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 >>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 <<<<HUTOBAMINI UTACHO KIKUTA HUMO.

No comments: