Monday, September 28, 2015

SALAMA AMTEMEA MADAM RITA MAKAVU.

           Salama Jabel ni mtangazaji wa kipindi cha mkasi na pia
ni moja ya majaji wa bongo star search, hii leo salama alimpa makavu livu Madam lita mpaka yeye mwenyewe akashangaa , hii ili tokea pale mtu wa Madam Rita alipo imba chini ya kiwango wakati yeye ni mkali mno kwenye maswala ya kuimba, Salama alijikuta akimwambia madam kwamba nibora uyo mtu wake ambaye ali rap (upande wa madam). Salama aka sema umeimba vibaya sana ni bora mshiriki huyo ukampa master J. Madam ali mind ila kiofsa.

No comments: