Amri Athumani a.k.a Mzee majuto atoa simulizi juu ya alivyo nusurika kufa akiwa Makka baada ya kutokea tukio la
kukanyagana lililo sababisha mamia ya watu kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa lililo tokea siku ya mwisho ya kumalizia hija katika sehemu moja inayo julikana kwa jina la Mina. Baada ya habari hizi tutapakaa waytu walianza kutafuta ndugu zao kwa njia ya simu na njia zingine tofauti, ndipo mke wa mzee Majuto alipo piga simu nyumbani na kumjuza mkewe kwamba yupo salama na wawe na amani. Tazama video hapa jinsi ilivyo kuwa >>>>>http://www.toomuchin4.com/2015/09/the-islamic-institutes-of-imaam.html >>>>>>>http://www.toomuchin4.com/2015/09/the-islamic-institutes-of-imaam.html <<<<<<<<
No comments:
Post a Comment