Thursday, September 24, 2015

DIAMOND AZUA KIZAAZAA KWENYE KAMPENI ZA CCM.

          Hii ni baada ya msanii Diamond kupiga show nzito
katika kampeni za CCM zilizo fanyika  Bukoba mapema wiki iliyo pita, Diamond alijikuta anafuatwa na kundi la watu walio taka kumuona na kuongea nae kwa karibu kitu ambacho hakikuwa rahisi baada ya mabaunsa kuwazuia watu hao na kumuwaisha Diamond kwenye gari alilopangiwa kuingia na baada ya hapo gari hilo liliondoshwa mahara apo mara moja na kuacha kundi la watu likilikimbilia gari hilo. Kutazama picha na video zaid ingia hapa >>>>>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1<<<<<<<<

No comments: