Wednesday, September 30, 2015

DIAMOND PLATNUMZ ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU MR.BLUE

         Nasib Abdully a.k.a Diamond Platnumz  msanii kutoka Tanzania atoa siri ya safari yake muziki ilianzaje, akiwa
kwenye kipindi cha Sporah asema kwamba Mr.blue ndo msanii aliyekuwa naye bega kwa bega kusambaza nyimbo yake iliyo kujakuwa hit song matata east africa nyimbo ya "Nenda kamwambie" Diamond alisema ana mkubali sana Blue kwa sababu ya roho yake safi. KWA HABARI ZAIDI NA PICHA INGIA HAPA >>>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1<<<<<< HUTO AMINI STORI YA HAPO.


No comments: