Friday, September 25, 2015

MAKKA: MAHUJAJI 717 AFARIKI DUNIA WAKIWEMO WATANZANIA WA NNE,MKENYA MMOJA.

            Tukio hili lili tokea baada ya kuzuka kwa mkanya gano
mkubwa ulio pelekea watu 717 upoteza maisha kati ya maujaji milioni mbili na 863 kujeruhiwa, katika watu hao walio poteza maisha imegundulika kuwa kuna watanzana wanne wamefariki dunia baada ya kuthibitishwa na shekhe mkuu Abu Bakar Zuberi Watanzania hao ni Bi. Mwanaisha Hassan Juma, Mkungwe Suleiman Hemed na Sefu Said Kitimla pia kuma mwanamke ambae jina lake bado halija patikana ila hatua za uuatiliaji zina endelea, mkenya aliye poteza maisha ni Bi. Fatuma muhammed Jama.
         Tukio limetokea siku ya mwisho ya hija katika sehemu moja inayo julikana kwa jina la Mina ambapo watu hurusha mawe saba  katika nguzo za Jamarat kumpiga sheitwan  kwani eneo hilo kihistoria ndipo sheitwani alipo mrubuni nabii Ibrahim. Kwa picha na video ya tukio jinsi lilivyo kuwa gusa hapa >>>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 <<<<< hakikisha una umri unao zidi miaka kumi na nane (+18)






No comments: