Sunday, September 27, 2015

EDDY KENZO AKIWA NA VAN DAMME KWENYE POZI.


                    Eddy Kenzo ni msanii musiziki huko nchi Uganda,
akiwa kwenye ziara yake ya kimuziki huko nchini Marekani alikutana na Jean Claud a.k.a Van Damme na kupata naye picha ambayo aliipost kwenye moja ya mitandao ya kijamii huku akisema kwamba ata mpeleke Jean Claud Uganda hivi karibuni. Kwa picha zaidi gusa hapa >>>>>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1<<<<<<http://www.toomuchin4.com/?m=1<<<<<<<<<<<

No comments: