Friday, September 25, 2015

TIFFAH ARUKA SOUTH NA MAMA YAKE KUWAONA KAKA ZAKE

  Zari the boss lady baada ya kumaliza 40 ya Tiffah amefunga
safari na kurudi South Africa  kuendelea na biashara zake na pia kumpeleka Tiffah kuwaona kaka zake watatu.
 Pichani Lil Q akimuangalia kwa upendo mkubwa sana dada yake. "Some one didn't move an inch spent half of his night just starring"  aliandika Zari baada ya kuituma picha hiyo apo juu kwenye moja ya mitandao ya jamii. Kwa picha zaidi na video za zar na wanae ingia hapa gusa link>>>>>>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 <<<<<<<<

No comments: