Monday, September 28, 2015

PICHA ZA BIRTH DAY YA WEMA SEPETU ZITAZAME HAPA ZOTE.

         Leo ni siku ya kipekee siku ambayo mrembo huyu
alizaliwa, mrembo ambaye aliwahi kuwa miss Tanzania 2006 na baada ya hapo kuingia kwenye muvi na kuungurumisha mpaka sekunde hii kwenye ulimwengu wa filamu, hivi karibuni mrembo huyu ameonekana kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa, namuongelea Wema Issac Sepetu a.k.a Kada.
Kwa picha za 2015 ingia hapa>>>>>>>http://www.toomuchin4.com/2015/09/wema-sepetu-finally-mentioned-man-who.html  tazama picha za birthday 2015 hapa >>>>http://www.toomuchin4.com/2015/09/wema-sepetu-finally-mentioned-man-who.html<<<<<

No comments: