Friday, September 25, 2015

USHER RAYMOND AFUNGA NDOA NA MENEJA WAKE KISIRISIRI.

     Mwanamuziki nguli wa R&B nchini marekani anaye
faamika duniani kwa jina la Usher Raymond kutokana na kazi ya muziki, mapema mwezi huu wa tisa amefunga pingu za maisha na aliye kuwa mpenzi wake kwa muda wa miaka mitano na pia ambaye ni meneja wake mpaka hivi sasa walifunga ndoa hiyo kisirisiri na kufanyia fungati yao huko nchini Cuba kwa mujibu wa chanzo hicho kilichotoa habari hii kilisema kwamba Usher anafichaficha lakini Grace Miguel ambaye ndo mke wa Usher wa hivi sasa yeye alipost picha kwenye akaunti yake ya instagram ndipo hapo us weekly walipo zipata dondoo hizi. Kutazama picha zaidi wakiwa kwenye fungati gusa hapaaa...>>>>>>>>http://www.toomuchin4.com/2015/09/usher-raymond-got-married-to-his.html<<<<<<<<<<<
                                Usher na Grace Miguel.

No comments: