Thursday, September 24, 2015

SHULE NNE ZIMEFUNGWA MKOANI MWANZA JUU YA KIPINDUPINDU.

         
           Baada ya ugonjwa wa kipindupipindu kusambaa kwa
kasi kubwa sana kwenye mikoa tofauti kama Dar es salaam, Dodoma, Mwanza na singida hali hii imesababisha baadhi ya shule jiji Mwanza kufungwa baada ya ugonjwa huu kusababisha vifo vya watoto wa nne na wengine kuwa maututi hospitaluni, Shule zilizo fungwa ni Nabweko,Buruza, Sambi na Kalazu. Kwa habari na picha ingia hapa http://www.toomuchin4.com/?m=1

No comments: