Tuesday, September 29, 2015

HATIMAYE MTOTO WA CRIS BROWN AITWA ROYALTY BROWN.

          Baaada ya mvutano wa muda mrefu kati ya Cris Brown na mzaz mwenzake Nia Gumz hatimae wafikia tamati na kuku baliana juu ya mtoto wao na nini cha kufanya ili wawe
sawa na kumlea mtoto kwa pamoja. Kuhusu jina la mtoto mtoto ataitwa Royalty Brown bila jina la kati yani Cris, kitu cha pili atamu hudumia mtoto kuanzia ada ya shule afya na matunzo yote anayo takiwa kupewa mtoto, cha tatu Cris ata ruhusiwa kukaa na mtoto wake siku 12 u ndani ya mwezi tena bila ulinzi wa aina yoyote, cha nne atatakiwa kumlipa Nia $ 2,500/= kila mwezi na atakuwa aki mlipa $15,000/= kama back surpport. Cris Brown amekubali yote hayo. KWA HABARI ZAIDI NA PICHA INGIA HAPA >>>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1 >>>>>http://www.toomuchin4.com/?m=1<<<<< GUSA HAPO HUTO AMINI UTACHO KIONA HAPO<<<<<<

No comments: