Friday, April 22, 2016

TAJIRI MENGI AKIWA NA MAMA WATOTO WAKE JACKLYN NTUYABALIWE.

Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.

Saturday, April 9, 2016

63 MBALONI KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM.

Jeshi  la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watu 63 wanaodhaniwa kuwa  majambazi wa kutumia silaha katika operesheni endelevu ya kuwasaka majambazi wanaofanya matukio mbalimbali.

RIDHIWAN AKANUSHA JUU YA UMILIKI WA KAMPUNI YA LUGUMI.

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amekanusha taarifa zilizosambaa katika

Saturday, March 26, 2016

MKUU WA MKOA WA MOROGORO DR.RAJAB RUTENGWE AMUOMBA RAIS MAGUFURI AMFIKIRIE UPYA.

    

 Dr.Rajab Rutengwe ambaye amemaliza muda wake wa kuwa mkuu wa mkoa katika mji wa Morogoro wakati akikabizi kiti hicho cha ukuu wa mkoa alitumia fulsa hiyo kumuomba msamaa  rais

Friday, March 25, 2016

ZARI AMCHANA LIVE KAJALA JUU YA KUJIBABISHA BEBISHA KWA BABI WAKE. STORY ILIYO ENEA MTAANI.

Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka kimahaba kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakati Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa Sauzi, madai yametua mezani mwa gazeti hili kuwa, kimenuka kati ya Zari na Kajala. 

Saturday, February 27, 2016

HII NDIYOMIJI INAYO ONGOZA KWA FOLENI DUNIANI,DAR ES SALAAM NAYO IPO.

Huenda ukawa umezoea na kuboreka na foleni ya jiji la Dar Es Salaam ambalo wakati mwingine inaweza kukugharimu kwa zaidi ya saa moja kukaa katika foleni kutoka Tegeta hadi Posta, hususani

MANGE KIMAMBI KUKEMEA SWALA LA DVA LOVENESS LOVE KUNG'ANG'ANIA PESA ZA MLEMA ZILIZO CHANGWA NA WADAU WALIO GUSWA NA TATIZO LA MLEMAVU HUYO.

                                                 MANGE KIMAMBI PICHANI