Saturday, March 26, 2016

MKUU WA MKOA WA MOROGORO DR.RAJAB RUTENGWE AMUOMBA RAIS MAGUFURI AMFIKIRIE UPYA.

    

 Dr.Rajab Rutengwe ambaye amemaliza muda wake wa kuwa mkuu wa mkoa katika mji wa Morogoro wakati akikabizi kiti hicho cha ukuu wa mkoa alitumia fulsa hiyo kumuomba msamaa  rais
J.P Magufuri kwa kushindwa kuendana na kasi ya "HAPA KAZI TU"  hali iliyo sababisha kuwekwa pembeni na kiti chake kupewa Dr.Kebwe.S.Kebwe, kikubwa alicho omba Dr.Rutengwe ni kufikiliwa upya na raisi wa jamuhuri ya Tanzania rais J.P.Magufuri kwani kwa sasa bado hajajua wapipakujishikiria.





No comments: