Saturday, January 23, 2016
KURUDIWA KWA UCHAGUZI ZANZIBAR MARCH 20 2016
Taarifa kutoka Visiwani Zanzibar ambako uchaguzi Mkuu
ulifutwa kutokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
(ZEC), Jecha Salim Jecha kutangaza kuwa ulikuwa na kasoro
kadhaa hivyo akatangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo.
January 22 taarifa kutoka visiwani Zanzibar ni kuwa, tume ya
uchaguzi visiwani Zanzibar ZEC imetangaza kwamba marudio ya
Uchaguzi huo ni Jumapili March 20 2016… ila hakuna uteuzi mpya wa
wagombea wala hakutaruhusiwa kufanyika kwa Kampeni zozote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment