Sunday, February 12, 2017

MKUU WA IMIGRATION MPAKANI MWA MOZAMBIQUE KUKATAA KUWAPOKEA WATANZANIA WALIO RUDISHWA NA MAPOLISI WA MOZAMBIQUE.

           Habari zilizo nifikia hivi Leo baada ya moja ya watu waliopo mpakani kupiga simu nakuelezea kinacho jili, anadai ya kwamba baada ya wao kufika mpakani umbande was
Mozambique nakuonekana wanarudishwa tena kinguvu mkuu was immigration upande wa Mozambique alicho kifanya cha kwanza alikataa kuwapokea watu hao kwamana kwamba aligoma kuwa gongea passport zao na kuwataka polisi ambao waliwaleta wawarejeshe hao watu walipo watoa na kunatetesi za kuwa hao polisi baada ya kufika mpakani na kumung'unya maneno mkuu wa immigration upande wa Mozambique aliwaweka mbaroni kwa Siku moja , mpaka hivi sasa bado watu hawaja rudishwa Capo Delgado Montepuez huku baadhi ya watu wakisubiri kuwaona ndugu jamaa na marafiki zao kwa hamu nakutaka kujua yaliyo was kuta kwani wamepolwa vitu vyote simu kubwa kubwa, pesa na kila wanacho kukuta nacho wanachukua sasa watu huku wanabaki na maswali kuanzia wenyeji mpaka wageni wanajiuli hawa ni wakina nani wanao pigs watu na kupola watu na kuwa shurutisha?
          Tetesi zilizo nifikia juu ya hili timbwili lote ni kwamba kunakijiji kinaitwa Namuchu kuna mzungu ambae ni muwekezaji  kwenye hilo eneo ambalo lina semekana kuwa no eneo ambalo Lina madini aina ya rubby , tatizo linakuja hapa sababu lile eneo in kubwa sana  kwahiyo kunabaadhi ya watu huenda kuchimba madini hayo na kuja kuyauza Montepuez na Nanhupu  ambapo kuna wanunuzi holela  na pia kunakuwa na madalali was madini hayo wajulikanao kama mablocker  hii ndiyo sababu ya sehemu hizi mbili kushambuliwa vikali sana . lakin bado hapo hapo sikila MTU anae ishi maeneo hayo wanafanya shughuli hizo watu wanabiashara zao na wengine wameajiriwa sehemu tofauti tofauti chaajabu polisi hawa walikuwa wanataka kila wanae mkuta nikumchukulia vitu na kumpeleka polisi hii sitabia njema ya kuwafanyia wageni vitu kama hivyo, ndomana Sikh zote Mimi na semaga Tanzania ni mama was Afrika na Tanzania no baba wa Afrika ukija Tanzania utalelewa kama upon kwenye mikono ya mama yako na utajisikia upo kwenye amani na ulinzi kama upon kwenye mikono ya baba yako. Kwa habari zitazo jiri tutaendelea kufahamisha penda kuwa mtembezi was hili eneo.

No comments: