Leo majira ya asubuhi watanzania walio kuwa wanaishi Mozambique maeneo ya Capo Delgado Montepuez ambao idadi yake haijajulikani mpaka hivi sasa wamewasilishwa
mpakani mwa Tanzania ili warudi majumbani mwao, miongani mwa watu waliomo ni wafanya biashara na watu walio kuja kusalimia ndugu na jamaa. Habari kamili itawajia hivi punde.
No comments:
Post a Comment