Tuesday, February 14, 2017

BAADHI YA PICHA ZA WATANZANIA WALIOKUWA WANA KAMATWA NCHINI MOZAMBI

Hii ni  picha ya vijana wa Tanzania waliyo kuwa wanalazimishwa kurudi Tanzania ili hali polisi waliyo kuwa waki wakamata wanachukua kila kitu walicho nacho nakuweka mifukoni mwao yani simu,pesa na chochote

Sunday, February 12, 2017

MKUU WA IMIGRATION MPAKANI MWA MOZAMBIQUE KUKATAA KUWAPOKEA WATANZANIA WALIO RUDISHWA NA MAPOLISI WA MOZAMBIQUE.

           Habari zilizo nifikia hivi Leo baada ya moja ya watu waliopo mpakani kupiga simu nakuelezea kinacho jili, anadai ya kwamba baada ya wao kufika mpakani umbande was

Saturday, February 11, 2017

UTAJIRI WA MAKONDA WAWA GUMZO BUNGENI.

  
      SiasaDodoma. Sakata la mali zinazodaiwa za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda limeendelea kulitikisa bunge baada ya Mbungewa Rombo, Joseph Selasini

Friday, February 10, 2017

BREAKING NEWS:WATANZANIA WALIOKUWA WANAISHI MONTEPUEZ MOZAMBIQUE WARUDISHWA MPAKANI MWAINCHI YAO.

   
   Leo majira ya asubuhi watanzania walio kuwa wanaishi Mozambique maeneo ya Capo Delgado Montepuez  ambao idadi yake haijajulikani mpaka hivi sasa wamewasilishwa

Thursday, February 9, 2017

TAZAMA VIDEO YA WEMA SEPETU AKIACHIWA HURU KWA DHAMANA.

Pichani no Wema Sepetu au unaweza mwita Madame . Gusa video hapo chini kutazama tukio zima jinsi lilivyo kwenda.