Saturday, March 26, 2016

MKUU WA MKOA WA MOROGORO DR.RAJAB RUTENGWE AMUOMBA RAIS MAGUFURI AMFIKIRIE UPYA.

    

 Dr.Rajab Rutengwe ambaye amemaliza muda wake wa kuwa mkuu wa mkoa katika mji wa Morogoro wakati akikabizi kiti hicho cha ukuu wa mkoa alitumia fulsa hiyo kumuomba msamaa  rais

Friday, March 25, 2016

ZARI AMCHANA LIVE KAJALA JUU YA KUJIBABISHA BEBISHA KWA BABI WAKE. STORY ILIYO ENEA MTAANI.

Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka kimahaba kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakati Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa Sauzi, madai yametua mezani mwa gazeti hili kuwa, kimenuka kati ya Zari na Kajala.