Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.
Friday, April 22, 2016
Sunday, April 10, 2016
Saturday, April 9, 2016
63 MBALONI KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watu 63 wanaodhaniwa kuwa majambazi wa kutumia silaha katika operesheni endelevu ya kuwasaka majambazi wanaofanya matukio mbalimbali.
Subscribe to:
Posts (Atom)